@usembassytz @SportsDiplomacy @StateDept “Serikali yetu imeshajua Watanzania ni …

@usembassytz @SportsDiplomacy @StateDept “Serikali yetu imeshajua Watanzania ni walewale ambao wakitishwa kidogo wanasambaratika kwa hivyo inafanya serikali yetu kutojali madhira yanayotukuta WANANCHI ”. – @erickbwirejr_
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi https://t.co/Bh860LCEQl https://t.co/xRbEIXSlTT

Source by MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸